Idara ya Afya katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro inaendelea na zoezi endelevu la uchangiaji damu. Kwa wananchi na watumishi ili kuongeza akiba ya damu katika kuboresha huduma za afya hususani mama na mtoto wilayani hapa.
Zoezi hili limeendelea leo katika kata ya Kisemu na baadaye litaendelea katika kata zingine.
Katika kijiji cha Mvuha zoezi hili lilipofanyika juma lililopita jumla ya Units 30 za damu ziliweza kukusanywa kutokana na idadi ya watu waliojitokeza.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.