Baada ya shule ya sekondari Matombo kupata kibali cha kuwa na wanafunzi wa kidato cha tano. Maendeleo makubwa yamekuwepo kwa wanafunzi kuendelea kuripoti na kuendelea na masomo shuleni hapo. Shule hii inapatika katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro katika Tarafa ya Matombo.
Idadi ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano, shule ya Sekondari Matombo ni 78, Katika tahasusi za HGL, na HKL. Walioripoti ni 43, HGL 26, KLL ni 17.
Madarasa ya kujifunzi kwa kidato cha cha tano pamoja na madawati yapo ya kutosha. Pia shule hii inao waalimu wa kutosha na vitendea kazi pia.
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.