Msingi umechimbwa tarehe 3/11/2021
Msingi ulianza kujengwa tarehe 5/11/2021 na kifusi kulimwagwa tarehe 9/11/2021
Kuta zimeanza kujengwa tarehe 16/11/2021
Tarehe 27/11/2021 mafundi wakisuka nondo kwa ajili ya kumwaga zege la lenta
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 5/12/2021 ambapo upauaji na upigaji lipu unaendelea
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.