Msingi ulichimbwa na kumalizika tarehe 8/11/2021
Hali ya mradi hadi kufikia tarehe 27/11/2021 ambapo kuta za juu ya lenta zinakamilishwa kujengwa tayari kwa hatua ya upauaji.
Hatua ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 29/11/2021
Hadi kufikia tarehe 2/12/2021 gebo imekamilika
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 13/12/2021 gypsum inafungwa
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 ambapo skimming imekamilika nje tayari kwa kupaka rangi
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.