Msingi umejengwa kuanzia tarehe 12/11/2021 na kukamilika tarehe 19/11/2021
Kuta zimeanza kujengwa tarehe 20/11/2021
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 27/11/2021
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 2/12/2021 ambapo ujenzi wa kuta za juu ya lenta unaendelea