Msingi ulichimbwa tarehe 5/11/2021 na kuanza kujengwa tarehe 9/11/2021 na kufikia tarehe 15/11/2021 zege la juu ya msingi lilimwagwa
Kuta za jengo zilianza kujengwa tarehe 20/11/2021
Box za lenta zimefungwa tarehe 25/11/2021 tayari kwa umwagaji wa zege la lenta
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 2/12/2021 ambapo kuta za jyy zimemalizika
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 5/12/2021 upauaji na upigaji lipu unaendelea
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 ambapo maandalizi ya kupaka rangi yanafanywa
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.