Msingi ulichimbwa kuanzia tarehe 8/11/2021
Msingi ulijengwa tarehe 11/11/2021 hadi tarehe 13/11/2021
Kuta zimeanza kujengwa tarehe 14/11/2021
Box zimefungwa tayari kwa kumwaga zege la lenta tarehe 25/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 ambapo zoezi la skimming linaendelea