Msingi umechimbwa tarehe 2/11/2021
Mawe yamepangwa tarehe 15/11/2021 tayari kwa kumwaga zege la jamvi
Umwagaji wa zege la jamvi tarehe 18/11/2021
Hatua ya ujenzi hadi kufikia tarehe 24/11/2021 ambapo ujenzi wa kuta unaendelea
Hali ya mradi hadi kufikia tarehe 28/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 2/12/2021 ambapo ujenzi wa kuta za juu ya lenta umeanza
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 zoezi la skimming linaendelea
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.