Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 28/11/2021 ambapo box zinafungwa kwa ajili ya kumwaga zege la lenta
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 13/12/2021 madirisha yamepachikwa na upigaji lipu waendelea