Imetolewa: October 11th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Stephen Kebwe amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro katika Tarafa ya Bwakila kata ya Bwakila na kijiji cha Bwakila Chini. Katika Mkutano wa H...
Imetolewa: September 28th, 2017
Baada ya shule ya sekondari Matombo kupata kibali cha kuwa na wanafunzi wa kidato cha tano. Maendeleo makubwa yamekuwepo kwa wanafunzi kuendelea kuripoti na kuendelea na masomo shuleni hapo. Shule hii...
Imetolewa: August 17th, 2017
Mradi wa Kuleta Mageuzi katika sekta ya makaa Tanzania umeendesha warsha kwa madiwani wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro katika ukumbi wa Oasis Mjini Morogoro.
Semina hiyo imehudhuriwa na ma...