Imetolewa: September 29th, 2021
Leo tarehe 29/09/2021 timu ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro (CHMT) imefanya kikao chake cha kuweka mikakati juu ya utoaji Elimu na uhamasishaji Wananchi kupata Chanjo ya UVIKO-19 (Corona) ...
Imetolewa: October 4th, 2021
Na. Tajiri Kihemba, MOROGORO DC.
Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) imewasilisha taarifa yake ya mrejesho wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022 katika Kikao cha Kamati ya Usha...
Imetolewa: September 17th, 2021
Timu ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro imeiagiza timu ya wataalamu (menejimenti) ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kuimarisha usimamizi wa miradi ya mae...