Imetolewa: July 8th, 2018
Vijana katika kijiji cha Pangawe wamenufaika kutokana elimu ya ushonaji vya mradi wa vyerehani uliopo kjijini hapo. Mradi huo una lengo kuu la kuwajengea vijana uwezo wa ujiajiri kupitia mafunzo ya uf...
Imetolewa: June 28th, 2018
Mradi huu upo katika Kijiji cha Mkambarani Kata ya Mkambarani ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Morogoro.
Ujenzi wa Mradi huu ulianza mwaka 2014, chini ya Kampuni ya Mihan gas inayojishughulisha na...
Imetolewa: June 26th, 2018
Mradi wa ujenzi wa zahanati uliopo Kijiji cha Lubungo kata ya Mikese umekamilika na kuanza kutoa huduma rasmi
Mradi huu ulianza mwaka 2009 ukiwa chini ya usimamizi wa uongozi wa kijijiji...