Imetolewa: November 8th, 2021
Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Eng. Juma Chimwaga akikagua ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika Shule ya Sekondari Gwata leo Novemba 8, 2021.
Ujenzi huo wa vyumba vitatu vya ...
Imetolewa: November 2nd, 2021
Kamati ya fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro leo Novemba 2, 2021 imefanya Ziara yake ya kukagua Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa kwa robo ya kwanza ya mwaka wa ...
Imetolewa: October 28th, 2021
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Kusirye B. Ukio ameutaka Uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Morogoro kuhakikisha unasimamia dawa ipasavyo katika Hospitali hiyo.
Dkt. Kusirye B. Ukio ameyasema ...