Imetolewa: August 26th, 2025
HAKIKA TUMEPAMBANA TUMETOLEWA HATUA YA FAINALI
Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Riadha mbio za Kupokezana vijiti mita 400 ,na Riadha mita 200 Wanaume zimepambana na Kutolewa katika hatua ...
Imetolewa: August 20th, 2025
Kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Wilaya ya Morogoro Ndg Reuben Sanga amewataka wananchi wa Kisaki na maeneo jirani kutumia fursa ya uwepo wa kambi ya huduma ya afya zinazotolewa bure...