Imetolewa: October 6th, 2018
Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania ametembelea eneo unapojengwa mradi mkubwa wa kufua umeme unaotokana na maporomoko ya maji ya Mto Rufiji maarufu kama Stiglers gorge.
Waziri Mkuu amete...
Imetolewa: October 2nd, 2018
Tanzania inakadiriwa kuwa itakuwa na wazee asilimia 11 ya watu wote nchini ifikapo mwaka 2050, kwa kuwa idadi ya watu inaongezeka kwa kasi kutokana na kuendelea kuboreka kwa huduma za Afya hapa nchini...
Imetolewa: September 24th, 2018
.
Madiwani wa Halmashauri ya Morogoro wamepatisha hesabu za mwisho za Halmashauri hiyo katika kiao maalum cha baraza la madiwani kilichofanyika tarehe 23/09/2018 katika ukumbi wa Coika Pangaw...