Imetolewa: March 16th, 2018
Akizungumza katika katika uzinduzi wa kiwanda cha Sigara cha Philip Moris mjini Morogoro kilichopo katika kata ya Mkambalani, Rais Magufuli amewataka Watanzania kubadilika kwa kuwekeza katika viwanda....
Imetolewa: February 9th, 2018
Idara ya Afya katika Halmashauri ya wilaya ya Mororgoro imeendesha Zoezi la uchangiaji wa damu kwa hiari wilayani humu zoezi hili limefanyika mnamo tarehe February 7 na 8. Zoezi hili lilifanyika...
Imetolewa: December 23rd, 2017
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh.Suleman Jafo (MB) leo 21/12/2017 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro na kukagua miradi miwili ya maendeleo ikiw...