Imetolewa: June 26th, 2018
Mradi wa ujenzi wa zahanati uliopo Kijiji cha Lubungo kata ya Mikese umekamilika na kuanza kutoa huduma rasmi
Mradi huu ulianza mwaka 2009 ukiwa chini ya usimamizi wa uongozi wa kijijiji...
Imetolewa: May 30th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Bi Regina Chonjo jana apokea zawadi mbalimbali kwa vituo vya afya vya Ngerengere na Duthumi. Zawadi hizo zimetolewa ikiwa ni katika mpango wa benki hiyo kurudisha faida kwa ...
Imetolewa: May 17th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Stephen Kebwe Amewahimiza wananchi wa mkoa wa Morogoro kujitolea zaidi katika kufanikisha shughuli za maendeleo wilayani hapa.
Mkuu huyo aliyasema hayo May 16 kat...